1 Wakorintho 10:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wala tusifanye uasherati kama baadhi yao walivyofanya, wakafa watu elfu ishirini na tatu kwa siku moja.