1 Wakorintho 10:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kama ukikaribishwa chakula na mtu asiyeamini nawe ukikubali kwenda, kula kitakachokuwa mezani bila kuuliza maswali kwa ajili ya dhamiri.