1 Wakorintho 10:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, nikisema hivyo nina taka kusema kwamba sadaka iliyotolewa kwa sanamu au kwamba sanamu ina maana yo yote?