1 Wakorintho 10:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je? Kikombe cha baraka ambacho tuna kibariki, si ushirika katika damu ya Kristo? Na mkate tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo?