1 Wakorintho 10:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nataka mkumbuke ndugu zangu, kwamba baba zetu wote wali kuwa wakiongozwa na wingu, na wote walipita katikati ya bahari ya Shamu.