1 Timotheo 6:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
ninakuamuru utunze amri hii bila doa wala lawama mpaka Bwana wetu Yesu Kristo atakapokuja.