1 Timotheo 6:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini wewe mtu wa Mungu, epuka haya yote. Tafuta kupata haki, utauwa, imani, upendo, subira na upole.