1 Timotheo 5:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninakuamuru mbele ya Mungu, na mbele ya Kristo Yesu na mbele ya malaika wateule, tekeleza maagizo haya pasipo kubagua wala upendeleo.