1 Timotheo 5:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Uwaheshimu mama wazee kama mama zako na akina mama vijana kama dada zako , kwa usafi wote.