1 Timotheo 5:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wazee wa kanisa wanaoongoza shughuli za kanisa vema wanastahili heshima mara mbili, hasa wale ambao kazi yao ni kuhu biri na kufundisha.