1 Timotheo 1:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Miongoni mwa watu hao wamo Himenayo na Aleksanda ambao nimewakabidhi kwa shetani, ili wajifunze wasimtukane Mungu.