1 Timotheo 1:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, heshima na utukufu ni wake yeye Mfalme wa milele, asi yekufa wala asiyeonekana, aliye peke yake Mungu, milele na milele. Amina.