1 Timotheo 1:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na neema ya Bwana wetu ilimiminika tele kwa ajili yangu pamoja na imani na upendo uliomo ndani ya Kristo Yesu.