1 Timotheo 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nami namshukuru Kristo Yesu Bwana wetu, aliyenitia nguvu na kunihesabu kuwa ni mwaminifu kwa kunichagua nimtumikie.