1 Petro 5:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu wenye nguvu, ili wakati wake ufaao utakapotimia, awainue.