1 Petro 4:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini itawabidi kujieleza mbele zake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.