1 Petro 4:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na, “Kama ni vigumu kwa mtu wa haki kuokolewa, itakuwaje kwa mtu asiyemcha Mungu na mwenye dhambi?”