1 Petro 2:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walipomtukana, yeye hakuwarudishia matu kano; alipoteswa, hakuwatishia, bali alimtegemea Mungu ahukumuye kwa haki.