1 Petro 2:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi mmeitwa kwa ajili hiyo, kwa sababu Kristo naye aliteseka kwa ajili yenu akawaachia kielelezo, mzifuate nyayo zake.