1 Petro 2:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.