1 Petro 2:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Muwe na mwenendo mwema kati ya watu wasiomjua Mungu, ili kama watawasema kuwa wakosaji, wayaone matendo yenu mema na wamtukuze Mungu siku ile atakapotujia.

Kuwatii Wenye Mamlaka