1 Petro 1:23

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maana mmezaliwa upya, si kwa mbegu iharibikayo, bali kwa mbegu isiyoharibika, kwa neno la Mungu lililo hai na linalodumu hata milele.