Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
1 Petro 1:2
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi mlichaguliwa tangu mwanzo na Mungu Baba na kutakaswa na Roho, mpate kumtii Yesu Kristo na kunyunyiziwa damu yake. Nawatakieni neema na amani tele.
Tumaini Lenye Uzima
Read full chapter →
Compare all translations →